Kwa mujibu wa IQNA, Mehdi Gholamnejad, msomaji wa kimataifa wa Qur'ani wa Iran, alisoma aya ya 40 hadi 47 za Surah Hud na Surah Kauthar katika siku ya pili ya Awamu ya 40 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran na Awamu ya 8 Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi yanayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Tehran.